Cherekochereko
Mandhari
Cherekochereko ni ile hali ya kusheherekea jambo fulani (mfano harusi, kipaimara, mahafali, siku ya kuzaliwa n.k.).
Katika cherekochereko kunakuwa na vyakula na vinywaji mbalimbali.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Cherekochereko kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |