Charlie Falzon
Mandhari
Charlie Falzon ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu kutoka Kanada ambaye aliwahi kucheza katika Ligi ya Soka ya Amerika kaskazini (1968-1984) na Ligi kuu. Pia alipata mechi tisa za kimataifa akiwa na timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Kanada kati ya mwaka 1983 na 1989. Hivi sasa, Charlie ni mhudumu wa ambulensi mwenye utaalamu wa huduma za dharura.[1][2][3][4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Toronto EMS
- ↑ Popovic set at midfield despite ruling
- ↑ "Charlie Falzon". NASL Jerseys. Iliwekwa mnamo 20 Aprili 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ North Mississauga Soccer Club
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Charlie Falzon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |