Nenda kwa yaliyomo

Charles William Fremantle

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Charles William Fremantle mwaka 1894 hivi.

Sir Charles William Fremantle KCB JP FRSA (12 Agosti 18348 Oktoba 1914) alikuwa afisa wa serikali ya Uingereza ambaye alihudumu kwa miaka 26 kama naibu msimamizi wa Kiwanda cha Kifalme cha Sarafu.

Tangu mwaka wa 1870, mkuu wa hifadhi ya fedha alikuwa pia msimamizi wa Kiwanda cha Sarafu, hivyo Fremantle alikuwa kiongozi wake mtendaji kwa karibu robo ya karne.

black-and-white photograph of middle-age man with receding curly hair
Benjamin Disraeli alimteua katibu wake binafsi, Fremantle, kama naibu mkuu wa Royal Mint.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charles William Fremantle kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.