Charles Ogessa Mlingwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Charles Ogessa Mlingwa (amezaliwa 6 Machi, 1959) ni mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Charles Ogessa Mlingwa (21 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.