Charles Ogessa Mlingwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Charles Ogesa Mlingwa)

Charles Ogessa Mlingwa (amezaliwa 6 Machi, 1959) ni mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Charles Ogessa Mlingwa". 21 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.