Nenda kwa yaliyomo

Chama cha Wafanyakazi Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo la Chama cha Wafanyakazi Tanzania (TUCTA)

Chama cha Wafanyakazi Tanzania (kwa Kiingereza Trade Union Congress of Tanzania 'TUCTA') ni umoja wa vyama vya wafanyakazi nchini Tanzania. Ina wanachama takribani 320,000 na iliundwa mnamo mwaka 2000 baada ya kufutwa kwa Shirikisho la Vyama vya Wafanyabiashara Huria (TFTU).

TUCTA ina uhusiano na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi vya Kimataifa.

  • et al., eds. (2005). Trade Unions of the World (6th ed.). London, UK: John Harper Publishing. ISBN 0-9543811-5-7.