Nenda kwa yaliyomo

Certificate of Secondary Education Examination (Tanzania)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) ni mitihani ya kidato cha nne (O Level) ambayo hufanywa kote nchini Tanzania ili kuwatayarisha wanafunzi kwa ajili ya masomo ya kidato cha tano na cha sita (A-level).[1] Kwa kawaida mitihani hiyo hufanywa katikati ya mwezi Novemba na inasimamiwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA).

  1. "NECTA | CSEE". www.necta.go.tz. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-06-25. Iliwekwa mnamo 2020-08-06.