Celeste Headlee

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Celeste Headlee

Celeste Headlee (amezaliwa Desemba 30, 1969) ni mtangazaji wa redio, mwandishi wa majarida mbalimbali, mzungumzaji kwenye hadhara tofauti nchini Marekani.

Akiwa na umri wa miaka 20, katika kazi zake za utangazaji wa redio, alikuwa ameshawahi kufanya kipindi mfululizo na shirika kubwa la utangazaji wa umma la Georgia kijulikanacho kama, "On Second though"[1][2] na kuwa mwenyeji wa kipindi cha asubuhi cha taifa kijulikanacho kama , "The takeaway". Kabla ya mwaka 2009, aliwahi kuwa mwandishi wa midwest cha NPR siku baada ya siku na kuwa mwenyeji wa mtiririko wa vipindi vya wiki katika maonyesho ya Radio ya taifa ya Dertroit. Pia Headlee ni mwandishi wa kitabu "We Need to Talk: How to Have Conversation That Matter" (Harper Wave, September 19, 2017).

Maisha ya Awali[hariri | hariri chanzo]

Celeste Headlee alizaliwa mwezi Desemba 30, 1969 Whittier, California, akiwa binti wa Judith Anne Still, mwandishi, na Larry Headlee, akiwa mtaalamu wa miamba ya majini. baba yake akiwa na asili ya bara la ulaya. Bibi na babu zake wakiwa watunzi William Grant Still na mcheza kinanda Verna Arvey. Babu yake akiwa na asili ya Marekani mweusi na bibi yake akiwa na asili ya Myahudi Mrusi.[3]

Headlee alihitimu katika chuo cha Northern Arizona University (NAU) na kupata shahada ya uzamili ya utumbuizaji wa sauti katika chuo kikuu cha Michigan.[4]

Kazi za Uandishi[hariri | hariri chanzo]

Headlee alianza kazi yake kama mtangazaji wa habari na mwandishi katika kituo cha redio cha taifa cha Arizona KNAU katika jiji la Flagstaff mnamo mwaka 1999[5] na kuaza kusikika rasmi katika Redio stesheni jijini Longstaff KVNA. Mnamo mwaka 2001, alikuja kuwa mtangazaji na mwandishi wa habari wa redio WDET-FM, Radio ya umma ya Detroit, akiwa mwenyeji wa kila wiki liitwalo Front Row Center.[6][7] Mnamo mwaka 2006 alianza kufanya kazi na Redio ya taifa (National Public Radio), kutengeneza hadithi, kutangaza habari za punde, na kuzalisha ushirikiano wa muda mrefu.[8] Headlee was the Midwest Correspondent for NPR's Day to Day na habari zake kurushwa na NPR, Public Radio International, mtandao wa Pacifica , Great Lakes Radio Consortium, na Habari za kitaifa za asili.[9]

Mnamo mwaka 2009 mpaka Agosti 2012,[10] Headlee alikuwa mwenyeji (akishirikiana na John Hockenberry) wa The Takeaway,kutangaza taarifa ya habari ya Taifa mubashara ikiwa imezalishwa na Public Radio International[11] na WNYC New York. Mnamo Desemba 2017, alionekana kama mmoja wa wanawake waanzilishi wa Takeaway mwenyeji mkuu alieacha kipidi kutokana na kuchukizwa na unyanyasaji na kutoheshimika na Hockenberry.[12] Wanawake wengine waliohusishwa na kipindi hicho walijitokeza kutokana na kukumbwa na tatizo hilo na pia waliokumbwa na unyanyasaji kingono walijitokeza pia.[12]

Mwishoni mwa mwaka 2012, akiwa kama mgeni mwenyeji wa kipindi cha NPR Tell Me More, Na mgeni mwenyeji bila uwepo wa Neal Conan katika Talk of the Nation.

Mnamo mwaka 2014, alianzisha kipindi cha On Second Thought katika shirika la umma wa Georgia (Georgia Public Broadcasting).[13] kipindi kilichochukua lisaa limoja katika redio kilihusisha habari za kitaifa na kimataifa kiichohusisha Georgia ya Kusini.

kwa sasa Headlee ni msimamizi mkuu wa kipindi cha Retro Report kinachorushwa na shirika la PBS.[14]

Tuzo za Uandishi wa Habari[hariri | hariri chanzo]

Headlee aliweza kutunukiwa tuzo kutoka Michigan cha AP,[15] Umoja wa waandishi wa habari wa Michigan (Michigan Association of Broadcasters), na jamii ya Metro (Metro Detroit Society of Professional Journalists).[16] Headlee anafanya kazi kama msimamizi na mkurugenzi wa NPR Next Generation , ambacho chenye lengo la kufundha vijana wachanga kuwa waandishi wa habari wazuri. Akiwa anaishi Arizona, Headlee alikuwa mwanachama wa wasanii wa Roster wa Arizona Commission on the Arts. Mwaka 2011 alitajwa kama mwandishi wa habari wa Getty Arts Journalism Fellow na chuo cha USC's Annenberg School of Journalism.[17]

Uandishi[hariri | hariri chanzo]

Kitabu chake cha mwaka 2017, book, We Need to Talk: How to Have Conversations That Matter kilichotoka mnamo mwezi May 2015 TEDx talk alichotoa Savannah, na kuzungumziaa namna gani watu wanaweza kuboresha mawasiliano yao.[18][19] She also covers relevant research in the book and helps people create strategies for their conversations.[20]

Kitabu chake cha Do Nothing (2020) anazungumza namna program ya kidigitali kilivyotengenezwa kuwafanya watu wakasirike zaidi wasipozalisha vya kutosha katika maisha yao.[14] In the book, Headlee asserts the importance of leisure time and connecting genuinely with other people.[21]

Elimu ya Muziki na Kazi[hariri | hariri chanzo]

Kapata mafunzo ya hali ya juu soprano,[13] Headlee graduated from the Idyllwild Arts Academy (part of the Idyllwild Arts Foundation) in 1987 and received a B.A. in Vocal Performance at Northern Arizona University in 1993, graduating with honors.[22] Headlee aliweza kupata shahada ya uzamili yake ya muziki ya utumbuizaji kwa sauti katika chuo cha Michigan (University of Michigan) mnamo ,waka 1998, akisoma pamoja na Freda Herseth, Leslie Guinn, and George Shirley, na kuchambua wimbo na Martin Katz. Headlee aliweza fanya maonyesho na Jumba la kumbukumbu la taifa la sanaa,[23] Butler Center for Arkansas Studies, the Distinguished Artist Series at the Church of the Red Rocks, Colorado College,[24] the Detroit Institute of Arts, Yavapai College, Wagner College[25] and Wayne State University, among other venues. Aliweza pia kutumbuiza katika kampuni tofauti kama msimamizi wa michezo wa Michigan, kampuni ya Sedona Repertory, wachezaji wa Harlequin (Olympia, Washington), kituo cha sanaa cha Seldon, na Lakes Lyric Opera.[26]

Maisha Binafsi[hariri | hariri chanzo]

Headlee alikuwa na watoto wawili.[13]

Headlee ni mjukuu wa mtunzi William Grant Still. Mara kwa mara alifanya maonesho katika shughuli mbalimbali za muziki ya wima na kuimba wimbo wa imara "Levee Land"[27] on the CD[28] iliyozalishwa na chuo cha Arizona kaskazini Wind Symphony. Aliweza pata mafunzo tofauti kuhusu Miziki ya Still akiwa katika shule ya upili[5] na chuoni na kuwa mhariri katika toleo la pili la kitabu, William Grant Still na the Fusion of Cultures in American Music, na kuziunganisha kazi za Still's.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. About Celeste Headlee. Iliwekwa mnamo 20 October 2020.
 2. Virginia Prescott Named New Host of GPB Radio's "On Second Thought" (April 9, 2018). Iliwekwa mnamo December 28, 2018.
 3. gpb.org On Second Thought May 20, 2015
 4. McManis, Sam (6 October 2019). Going 'Retro': Celeste Headlee, who got her start in Flagstaff, to co-host PBS show (en).
 5. 5.0 5.1 Zick, William J. (January 16, 2012). A2Schools.org: PRI Co-Host Celeste Headlee, Conductor John McLaughlin Williams & Singer Daniel Washington in Ann Arbor Jan. 13. Iliwekwa mnamo December 28, 2018.
 6. Thanks for visiting the Environment Report's home page.. Iliwekwa mnamo December 28, 2018.
 7. Metro Detroit: Newsmakers May 4, 2006 – Michiguide.com 2006 News Archives. Iliwekwa mnamo December 28, 2018.
 8. NPR Search : NPR. NPR. Iliwekwa mnamo December 28, 2018.
 9. The Takeaway. Archived Juni 14, 2012, at the Wayback Machine
 10. Headlee, Celeste (August 22, 2012). @silouette74 I left the Takeaway – my last day was Friday.. Iliwekwa mnamo December 28, 2018.Kigezo:Primary source inline
 11. PRI bio. Archived Machi 11, 2012, at the Wayback Machine
 12. 12.0 12.1 "Public-Radio Icon John Hockenberry Accused of Harassing Female Colleagues", The Cut, December 1, 2017. Retrieved on December 10, 2017. 
 13. 13.0 13.1 13.2 Ho, Rodney. "Celeste Headlee Headlines New WRAS Show", The Atlanta Constitution, 2014-10-20, pp. D1. and"Headlee", The Atlanta Constitution, 2014-10-20, pp. D4. 
 14. 14.0 14.1 Kelemen, Jasmina (11 October 2019). Social Anxiety: Self-Help Books 2019–2020.
 15. Welcome (February 13, 2018). Iliwekwa mnamo December 28, 2018.
 16. Awards.. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-02-21. Iliwekwa mnamo December 28, 2018.
 17. Getty Arts Journalism Fellows.. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-16. Iliwekwa mnamo December 28, 2018.
 18. We Need to Talk: How to Have Conversations That Matter.
 19. Rhone, Nedra. "GPB Host Headlee Wants Us to Have Conversations That Matter", The Atlanta Constitution, 2017-08-10, pp. D6. 
 20. We Need to Talk: How to Have Conversations That Matter.
 21. Do Nothing.
 22. Welcome – The NAU Legacy: – People Making a Difference – Northern Arizona University. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-06-24. Iliwekwa mnamo December 28, 2018.
 23. National Gallery of Art.
 24. Colorado College Performance. Archived Septemba 24, 2006, at the Wayback Machine
 25. Wagner College Work One Campus Road Staten Isl (April 26, 2011). 'Porgy & Bess Concert,' May 1. Iliwekwa mnamo December 28, 2018.
 26. The Great Lakes Opera. Archived Juni 24, 2012, at the Wayback Machine
 27. Levee Land, William Grant Still and Florence Mills. Iliwekwa mnamo December 28, 2018.
 28. Music of Afro-American Composers.. Iliwekwa mnamo December 28, 2018.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]