Carrossel
Mandhari
| Carrossel | |
|---|---|
| Aina | Telenovela ya watoto Vichekesho Tamthilia |
| Imebuniwa na | Íris Abravanel |
| Imeongozwa | Reynaldo Boury |
| Nyota | Rosanne Mulholland Larissa Manoela Jean Paulo Campos Maisa Silva |
| Jina la kufungulia kipindi | Carro-céu na Yudi Tamashiro na Priscilla Alcantara |
| Jina la kufungia kipindi | Carro-céu na Yudi Tamashiro na Priscilla Alcantara |
| Nchi inayotoka | Brazili |
| Lugha | Kireno |
| Utayarishaji | |
| Urekebishaji wa kamera | Kamera nyingi |
| Muda | 60 |
| Urushaji wa matangazo | |
| Kituo | SBT |
| Imeanza | Mei 21, 2012 – Julai 26, 2013 |
| Viungo vya nje | |
| Profaili ya IMDb | |
Carrossel ni kipindi cha televisheni cha Brazili kilichoonyeshwa kwenye SBT kuanzia Mei 21, 2012 hadi Julai 26, 2013. Ni remake ya Kibrazili ya telenovela ya Kimeksiko ya mwaka 1989 Carrusel, ambayo yenyewe ilichochewa na telenovela ya Argentina ya mwaka 1966 Jacinta Pichimahuida, la Maestra que no se Olvida. Ikichezwa na Rosanne Mulholland, Larissa Manoela, Jean Paulo Campos na Maisa Silva.[1][2]
Waigizaji
[hariri | hariri chanzo]| Waigizaji | Jukumu |
|---|---|
| Rosanne Mulholland | Mwalimu Helena Fernandes |
| Larissa Manoela | Maria Joaquina Medsen |
| Jean Paulo Campos | Cirilo Rivera |
| Maisa Silva | Valéria Ferreira |
| Guilherme Seta | Davi Rabinovich |
| Nicholas Torres | Jaime Palillo |
| Thomaz Costa | Daniel Zapata |
| Ana Vitória Zimmermann | Marcelina Guerra |
| Lucas Santos | Paulo Guerra |
| Stefany Vaz | Carmem Carrilho |
| Gustavo Daneluz | Mário Ayala |
| Matheus Ueta | Kokimoto Mishima |
| Léo Belmonte | Jorge Cavalieri |
| Fernanda Concon | Alícia Gusman |
| Konstantino Atan | Adriano Ramos |
| Aysha Benelli | Laura Gianolli |
| Victória Diniz | Bibi Smith |
| Esther Marcos | Margarida Garcia |
| Noemi Gerbelli | Mkuu wa shule Olívia Veider |
| Lívia Andrade | Mwalimu Suzana Bustamante |
| Fernando Benini | Firmino Gonçalves |
| Márcia de Oliveira | Graça |
| Gustavo Wabner | Mwalimu Renê Magalhães |
| Ilana Kaplan | Mwalimu Matilde |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Folha de S. Paulo (9 Februari 2015). "Novela 'Carrossel' ganha filme em julho; conheça dia a dia dos atores". Iliwekwa mnamo 22 Februari 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "TV terá guerra teen às 20h30". Folha de S.Paulo. Iliwekwa mnamo 30 Oktoba 2011.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Carrossel kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |