Carolyne Anyango

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Carolyne Anyango Omondi amezaliwa 27 Februari 1989, anajulikana kama Carolyne Anyango, ni kiungo wa timu ya mpira wa Kenya ambae alicheza kama kiungo Cha kati.Ambae alikuwa mwanachama wa timu ya taifa ya wanawake wa Kenya.

Kazi ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Anyango alichezea Kenya katika kombe la Africa women la taifa 2016

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Carolyne Anyango kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.