Nenda kwa yaliyomo

Caroline Mwatha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Caroline Mwatha

Caroline Mwatha Ochieng’ alikuwa mwanaharakati wa haki za binadamu wa Kenya na mwanzilishi wa kituo cha jamii cha Dandora (kinachochunguza na kurekodi kesi za mauaji ya polisi huko Dandora).

Alipotea tarehe 6 Februari 2019 mwenye umri wa miaka 37.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Kenyans mourn rights activist Caroline Mwatha". Africanews. 13 Februari 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 17 Februari 2019. Iliwekwa mnamo 22 Februari 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Caroline Mwatha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.