Nenda kwa yaliyomo

Carlos Azpiroz Costa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alfonso Azpiroz Costa

Carlos Alfonso Azpiroz Costa, O.P. (alizaliwa 30 Oktoba 1956) ni mtawa Mkatoliki katika Shirika la Wahubiri (Order of Preachers).

Amekuwa Askofu Mkuu wa Bahia Blanca tangu mwaka 2015. Kabla ya uteuzi wake kuwa Askofu Mkuu, alihudumu kama mkuu wa shirika hilo kutoka mwaka 2001 hadi 2010.[1]

  1. Master of the Order Archived Mei 4, 2009, at the Wayback Machine from the website of the Dominican Order
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.