Carlos Alberto Ricardo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Carlos Alberto Ricardo ni mwanamazingira kutoka Brazil. Ni mkurugenzi wa taasisi ya Instituto Socioambiental (ISA) huko Brazil.[1]

Alipewa Tuzo ya Mazingira ya Goldman mnamo 1992, kwa mchango wake katika sera ya mazingira nchini Brazil.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]