Carl David Anderson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Carl David Anderson

Carl David Anderson (3 Septemba 190511 Januari 1991) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza sehemu za atomu. Mwaka wa 1936, pamoja na Victor Hess alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Marekanibado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carl David Anderson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.