Caleb McDuff
Mandhari

Caleb McDuff ni dereva wa mbio za Uingereza,pia ni kiziwi ambae hutumia vipandikizi vya cochlear kusikia,lakini hawezi kuvitumia wakati wa kushindana akiwa na kofia ngumu ya usalama. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Caleb McDuff kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |