Byureghavan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mji wa Byureghavan

Byureghavan (Kiarmenia: Բյուրեղավան, pia unajulikana kwa Kirumi kama Byuregavan na Bureghavan) ni mji uliopo nchini Armenia kwenye mkoa wa Kotayk. Mji una wakazi takriban 7,000. Mji ulianzishwa mnamo mwaka wa1945. Kuna kiwanda cha kukata vioo, ambacho jina lake linatoka na mji wake.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag map of Armenia.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Byureghavan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.