Bulcha Demeksa
Mandhari
Bulcha Demeksa (1930 – 6 Januari 2025) alikuwa mwanasiasa na mfanyabiashara wa Ethiopia. Alikuwa mwanzilishi wa harakati ya kidemokrasia ya kifederali ya Oromo (OFDM), moja ya vyama vikubwa vya upinzani nchini Ethiopia. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Bulcha Person of the Year Archived 8 Februari 2009 at the Wayback Machine
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bulcha Demeksa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |