Bufee

Buffet (Jean-Louis Forain).
Bufee (kutoka neno la Kifaransa "buffet" kupitia Kiingereza) ni sehemu ambayo watu hujipakulia vyakula mbalimbali katika vyombo tofauti vya chakula na hiyo huwepo kwenye harusi, mikutano na kadhalika. Kikawaida unaweza kurudia kuchukua chakula kadiri utakavyo. Siku hizi kumekuwa na utaratibu wa bufee katika baadhi ya migahawa kwa malipo ya kiwango cha juu kabisa unaruhusiwa kurudia hata mara 20 ilimradi tu uweze kukimaliza.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Peck, Carole (1997). The buffet book : inspired ideas for new-style entertaining, with 175 recipes. Viking. ISBN 0-670-86516-8.
- (August 1945) Novel Touches for Buffet Service. Popular Mechanics. Retrieved on 25 December 2011.
- Von Welanetz Wentworth, Diana (1978). The Art of Buffet Entertaining. J. P. Tarcher. ISBN 0-87477-080-7.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bufee kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |