Bruno Rodriguez (mwanaharakati)
Bruno Rodriguez ni mwanaharakati wa hali ya hewa kutoka Argentina.[1][2]
Ndiye kiongozi wa Fridays for Future huko Argentina.[3][4]
Alikuwa mjumbe katika Mkutano wa Vijana wa Umoja wa Mataifa wa Hali ya Hewa wa 2019.[5][6]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ https://www.batimes.com.ar/news/argentina/argentine-climate-activist-makes-waves-at-un-ahead-of-general-assembly.phtml
- ↑ https://plantbasednews.org/news/ten-teen-climate-activists-you-should-know/
- ↑ Buenos Aires Times | Argentine climate activist makes waves at UN climate summit.
- ↑ "Bruno Rodríguez. “El ambientalismo tiene que empezar a embarrarse” - LA NACION", La Nación. (es-AR)
- ↑ Youth leaders at UN demand bold climate change action (en) (2019-09-22).
- ↑ 'An Obligation to Make Radical Change': At Youth Climate Summit, Young Leaders Say Merely Listening to Science Is Not Enough (en).
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bruno Rodriguez (mwanaharakati) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |