Brandon Auret

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Amezaliwa Brandon Auret
27 Disemba 1972
Johannesburg Afrika Kusini
Kazi yake Mwigizaji

Brandon Auret (alizaliwa Disemba 27 1972) ni mwigizaji wa Afrika Kusini anayefahamika kama Leon du Plessis kwenye tamthiliya ya Isidingo.

Maisha ya mwanzo[hariri | hariri chanzo]

Auret amezaliwa Desemba 27 1972 katika mji wa Johannesburg huko Afrika Kusini. Kwa sasa anaishi Gauteng, Afrika Kusini.

Kazi ya Uigizaji[hariri | hariri chanzo]

Auret alicheza kama Leon du Plessis kuanzia mwaka 1998 hadi mwaka 2005. Baada ya kuachana na tamthiliya hii aliigiza katika safu ya kuigiza ya GO / M-Net ya Angel's Song kama William. Jukumu hili lilikuwa kuanzia 2006 hadi 2007. Sifa zingine za uigizaji wa runinga ni pamoja na: Zet, Egoli, SOS, Laugh Out Loud, One Way, Wild At Heart na Tshisa.[1] Auret ameigiza kwenye filamu ya kiafrika kusini inayofahamika kama District 9.[2]


Auret ni mmiliki mwenza na mtayarishaji wa media ya utangazaji na kampuni ya utengenezaji wa filamu A Breed Apart Pictures.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "TVSA Brandon Auret". The South African TV Authority. Iliwekwa mnamo 20 October 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Vaz, Joe. "Feature Interview: Brandon Auret". Something Wicked. Something Wicked and Inkless Media. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 20 October 2014. Iliwekwa mnamo 20 October 2014.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  3. "Who's Who Southern Africa". whoswho.co.za. whoswho.co.za. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 9 February 2014. Iliwekwa mnamo 20 October 2014.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Brandon Auret kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.