Nenda kwa yaliyomo

Braeden Anderson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Braeden Anderson alizaliwa tarehe [28 Septemba 1992 ni mwanasheria na mchezaji wa zamani wa mpira wa kikapu wa chuo. Alicheza kwenye timu ya Seton Hall Pirates na kushinda Ubingwa wa Big East Conference mnamo mwaka 2016.Alikamilisha masomo yake ya sheria mwaka 2018 na akawa mshirika katika kampuni ya sheria ya New York City, Sidley Austin.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Braeden Anderson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.