Boualem Amirouche

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Boualem Amirouche (alizaliwa 1 Oktoba 1942) ni mchezaji wa soka kutoka Algeria. Alicheza mechi kumi na moja katika timu ya taifa ya Algeria kati ya mwaka 1966 na 1971.[1] Pia aliteuliwa katika kikosi cha Algeria kushiriki katika mashindano ya 1968 African Cup of Nations (Kombe la Mataifa ya Afrika 1968).[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Boualem Amirouche". National Football Teams. Iliwekwa mnamo 2 May 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "African Nations Cup 1968 - Final Tournament Details". RSSSF. Iliwekwa mnamo 2 May 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Boualem Amirouche kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.