Borås
Mandhari
Borås ni mji nchini Uswidi. Mji ulianzishwa 1622. Kuna wakazi 63,441 (mwaka 2005).
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Eneo lake ni 24.99 km².
-
Uwanda wa Borås
-
Mnara wa maji
-
Ukumbi wa Boras
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- www.boras.se Ilihifadhiwa 20 Februari 2009 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Borås kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |