Bodimama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Asus motherboard.jpg

Bodimama (kwa Kiingereza: Motherboard) ni kati ya printed circuit board (PCB) katika kompyuta nyingi za na inashikilia vipengele vingi muhimu vya mfumo. Wakati mwingine hujulikana kama bodi kuu, mfumo wa bodi, bodi ya mantiki na hata mobo tu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]