Bodø

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Bodø

Bodø ni makao makuu ya Nordland, jimbo la Norwei. Una wakazi 41,215.

Makala hii kuhusu maeneo ya Norwei bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bodø kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.