Betsy Weatherhead

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elizabeth C. Weatherhead, anayejulikana zaidi kama Betsy Weatherhead, ni mtaalamu wa hali ya hewa wa Marekani, mwanasayansi wa angahewa, afisa wa serikali, na profesa.

Aliteuliwa mnamo 2020 na rais wa Marekani Donald Trump kuongoza chama cha National Climate Assessment (NCA).[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Betsy Weatherhead kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.