Benito William Malangalila

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Benito William Malangalila (amezaliwa tar. - ) ni mbunge wa jimbo la Mufindi Kusini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM. Alikuwa Mbunge wa jimbo la Mufindi kusini (ccm) 2005-2010,alipoamua kustaafu na kumwachia mbunge wa Sasa Bw Menderady Kigolla (CCM) hata hivyo mbunge huyo kabla na baada ya kustaafu alikuwa akiugua mara kwa mara na muda wote toka alipoamua kuachana na siasa alikuwa akiugua na kujipumzisha nyumbani kwake.

Alifariki mwaka October 2012 na kuzikwa mkoani Iringa.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Benito William Malangalila (13 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya nnje[hariri | hariri chanzo]