Becca (mwimbaji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rebecca Akosua Acheampomaa

Rebecca Akosua Acheampomaa
Amezaliwa 15 Agosti 1984
Ghana
Kazi yake Mtunzi na Mwimbaji


Rebecca Akosua Acheampomaa Acheampong (maarufu kama Becca; amezaliwa 15 Agosti 1984)[1][2] ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mwigizaji wa Ghana.

Alianza kutambuliwa aliposhiriki msimu wa pili wa mashindano ya uimbaji yanayofanyika kila mwaka uko Ghana "TV3 Ghana".

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Becca Biography. Peacefmonline.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-06-30. Iliwekwa mnamo 17 June 2014.
  2. Becca releases "Sugar" album. Daily Guide (27 August 2007). Iliwekwa mnamo 6 July 2014.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Becca (mwimbaji) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.