Nenda kwa yaliyomo

Becca (mwimbaji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Becca)
Rebecca Akosua Acheampomaa

Rebecca Akosua Acheampomaa
Amezaliwa 15 Agosti 1984
Ghana
Kazi yake Mtunzi na Mwimbaji


Rebecca Akosua Acheampomaa Acheampong (maarufu kama Becca; amezaliwa 15 Agosti 1984)[1][2] ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mwigizaji wa Ghana.

Alianza kutambuliwa aliposhiriki msimu wa pili wa mashindano ya uimbaji yanayofanyika kila mwaka uko Ghana "TV3 Ghana".

  1. "Becca Biography". Peacefmonline.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 30 Juni 2016. Iliwekwa mnamo 17 Juni 2014. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Becca releases "Sugar" album". Daily Guide. 27 Agosti 2007. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 Desemba 2013. Iliwekwa mnamo 6 Julai 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Becca (mwimbaji) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.