Nenda kwa yaliyomo

Bahasha (filamu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Bahasha(filamu))

Bahasha ni filamu ya mwaka 2018 ya Kitanzania inayohusu afisa wa umma ambaye anatafuta msaada ili akombolewa baaada ya kupokea rushwa. Inaeleza kuhusu suala la rushwa ambalo ndilo tatizo kubwa katika jamii yetu ya sasa.[1][2][3]

Wahusika[hariri | hariri chanzo]

  • Ayoub Bombwe aliyeigiza kama Kitasa
  • Cathryn Credo aliyeigiza kama Hidaya
  • Godliver Gordian aliyeigiza kama Zawadi

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://torontoblackfilm.com/event/bahasha/
  2. https://allafrica.com/stories/202004150063.html
  3. https://www.thecitizen.co.tz/news/Tanzanian-film-Bahasha-to-premier-on-Ziff/1840340-4641326-y7wuqk/index.html