Nenda kwa yaliyomo

Awino Okech

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Awino Okech ni msomi wa Kenya kulingana na Chuo Kikuu cha London.School of Oriental and African Studies (SOAS), ambapo "ufundishaji na utafiti umejikita sana kwenye kwenye uhusiano wa ki jinsi,kijinsia na miradi ya kitaifa/serikali inapotokea katika jamii za migogoro na baada ya migogoro".Okech pia amefundisha kituo cha uongozi cha afrika ,Akiwa katika Chuo cha King's College London, na ni mjumbe wa bodi ya ushauri ya wahariri ya Feminist Africa.