Nenda kwa yaliyomo

Atlantique (Benin)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Atlantique ni moja ya mikoa kumi na mbili ya Benin. Una eneo la km2 3,233 na wakazi 1,396,548 (2013). Mji mkuu ni Ouidah.

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Atlantique (Benin) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.