Arubastini
Mandhari
Arubastini ni mchezo wa karata ambapo karata inayotawala ndiyo huongoza mchezo.
Mshindi hupatikana kwa kupata idadi ya 60 kwenda juu.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Arubastini kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |