Artik

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji kunako mwezi wa Oktoba 2009.

Artik (kwa Kiarmenia: Արթիկ, pia kwa jina la Kirumi Art’ik) ni mji uliopo mkoani Shirak huko nchini Armenia. Mji una wakazi wapatao 14,949.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Artik kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.