Nenda kwa yaliyomo

Arnaut Daniel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uchoraji wa Arnaut Daniel

Arnaut Danièl alikuwa mshairi na mwimbaji wa karne ya 13 katika Ufaransa ya Kusini. Kutokana na habari chache juu ya maisha yake zilizohifadhiwa alizaliwa kama mtoto katika familia ya makabaila wadogo akaendelea kusoma kwenye ngazi ya chuo. Inaonekana hakumaliza masomo bali aliendelea kuzunguka nyumba na maboma ya wakubwa alipoimba mashairi yake.

Alikuwa maarufu kwa lugha yake na sifa hizi zilidumu kwa karne nyungi ingawa kuna sehemu ndogo tu ya kazi yake iliyohifadhiwa hadi leo.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arnaut Daniel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.