Arezki Metref
Mandhari
Arezki Metref | |
---|---|
Arezki Metref | |
Amezaliwa | Arezki Metref 21 Mei 1952 Sour El-Ghozlane |
Jina lingine | Arzki Metref |
Kazi yake | Mwandishi |
Arezki Metref (alizaliwa Mei 21, 1952) ni mwandishi wa habari na wa mashairi wa Aljeria.[1]
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Arezki Metref alizaliwa katika mji wa Sour El-Ghozlane, karibu na Bouïr mnamo 21 Mei mwaka 1952 Baba Belaid Metref, alikuwa anatokea katika Kabila la Kabyle,[2] Azerki aliishi katika eneo la Bouira. Kisha akahamia Laghouat na kisha katika mnamo mwaka 1956, alikuwa muandishi wa habari mwaka 1972.
Mara baada ya mauaji ya Djaout, Matref alihamia nchini Ufaransa na mwaka 2001 alirudi nchini Aljeria.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Photographie et nombreux articles de la presse algérienne sur les livres d'Arezki Metref]. Archived Februari 20, 2008, at the Wayback Machine
- ↑ Déjeux, Jean (1984). Dictionnaire des auteurs maghrébins de langue française (kwa Kifaransa). KARTHALA Editions. uk. 167. ISBN 9782865370856.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Arezki Metref kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |