A.J.P. Martin
Mandhari
(Elekezwa kutoka Archer John Porter Martin)
Archer John Porter Martin (1 Machi 1910 – 28 Julai 2002) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza mbinu za kutenganisha dutu zinazofanana. Mwaka wa 1952, pamoja na Richard Synge alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu A.J.P. Martin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |