Nenda kwa yaliyomo

Araika Mkulo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Araika Zawadhafsa Mkulo ni mwanzilishi wa Safe Space Group of Companies[1][2]

Elimu

Araika alipata shahada ya Psychology na French katika chuo kikuu Cornel na baadae akapata shahada ya uzamili ya Cognitive Psychology katika chuo kikuu cha Edinburgh.[3]

Sehemu kubwa ya utafiti wake ilikuwa ni kutatua matatizo ya usawa wa kijinsia na umaskini.[4]

Kazi

Kwa sasa Araika Zawadhafsa Mkulo anafanya mradi wa Binti Project.[5]

Pia Araika ni mjumbe wa bodi katika taasisi ya Insurance Group of Tanzania[6]

Umaarufu

Mwishoni mwa mwaka 2018 alipata nafasi ya kutambuliwa kuwa miongoni mwa vijana 50 wa Kitanzania wenye ushawishi katika jamii [7].

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Araika Mkulo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Marejeo