Ann Aluoch

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ann Aluoch Onyango alizaliwa 5 Januari 1990, anajulikana kama Ann Aluoch ni kiungo wa timu ya mpira Kenya ambaye alichezea kama mtetezi wa mpira.Alikuwa kama mwanakikundi wa timu ya taifa ya wanawake wa Kenya.

Kazi ya taifa[hariri | hariri chanzo]

Aluoch alichezea Kenya katika kombe la taifa la Wanawake wa Afrika.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. StartListForMedia.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Ann Aluoch kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.