Nenda kwa yaliyomo

Angéline Nadié

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Angéline Nadié

Amezaliwa Angéline Nadié
1 Januari 1968
Ivori kosti
Amekufa Julai 2021
Kazi yake Mwigizaji

Angéline Nadié (1 Januari 196817 Julai 2021) alikuwa mwigizaji wa nchi ya Ivory Coast[1][2].

Nadié aliugua ugonjwa wa saratani kwa miaka mitatu kabla ya kifo chake. Mnamo mwaka 2018, msaada wa pensheni ya serikali uliombwa hadharani kutoka kwa Waziri wa Utamaduni wa Ivory Coast anayeitwa Maurice Bandama.[3][2]

Filamu Zake[hariri | hariri chanzo]

  • Ma Famille (2002–2007)
  • Marié du net 1 (2005)
  • Marié du net 2 (2005)
  • Les Oiseaux du ciel (2006)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Bienvenu, Pamgue. "Côte d’Ivoire : Décès de l’actrice Angeline Nadié", Tchadinfos.com, 17 July 2021. (French) 
  2. 2.0 2.1 "Ma Grande Famille : Angeline Nadié, une légende s'en est allée". Visages Live. 17 Julai 2021. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-07-18. Iliwekwa mnamo 20 Julai 2021. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Angeline Nadié (la mère de Bohiri) demande de l'aide à l'Etat". Infodrome. 23 Aprili 2018. Iliwekwa mnamo 20 Julai 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Angéline Nadié kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.