Anders (mwimbaji)
Mandhari
Anders Ly (anajulikana kwa jina moja kama Anders ambalo huandikwa anders; alizaliwa 1995) ni mwimbaji, rapper, na mtunzi wa nyimbo wa Kanada.
Anders ameteuliwa mara mbili kwa Tuzo za Juno za mwaka 2019.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Don't Sleep on Toronto Artist anders". Spicydrip.com. Novemba 15, 2018. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-08-20. Iliwekwa mnamo 2024-12-12.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "anders Gets Honest About Fatherhood, Asian Identity, and Racism on Social Media". Complex.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo Agosti 5, 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Anders (mwimbaji) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |