Amine Atouchi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Amine Attouchi (alizaliwa 7 Januari 1992) ni mchezaji wa soka wa Moroko anayecheza katika klabu ya Saudi Professional League ya Abha ambapo akiwa nafasi ya beki.

Aliitwa kwenye kikosi cha 2017 Africa Cup of Nations.[1]

Heshima[hariri | hariri chanzo]

Wydad Casablanca

  • CAF Champions League: 2017
  • Botola: 2015, 2017

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "A. Atouchi". Soccerway. Iliwekwa mnamo 4 August 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amine Atouchi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.