Nenda kwa yaliyomo

Amer Didić

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Amer Didić

Amer Didić (alizaliwa Desemba 28, 1994) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa wa Kanada anayechukua nafasi ya beki wa kati katika klabu ya Atlético Ottawa kwenye ligi ya Canadian Premier. Alizaliwa Bosnia na Herzegovina, lakini anaiwakilisha timu ya taifa ya soka ya Kanada.[1][2]



  1. "Baker Alum Amer Didic Signs with Sporting KC". Baker University. 31 Mei 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-16. Iliwekwa mnamo 16 Aprili 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Swope Park Rangers sign Amer Didic and Tyler Pasher". Sporting Kansas City. Machi 2, 2016. Iliwekwa mnamo Mei 14, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amer Didić kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.