Nenda kwa yaliyomo

Alphonso Davies

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Davies akicheza kwa ajili ya FC Bayern Munich mwaka 2022.

Alphonso Boyle Davies (alizaliwa 2 Novemba 2000) ni mchezaji wa soka wa kitaalamu anayecheza kama mchezaji wa pembeni wa kushoto na katika klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani na pia anakuwa nahodha wa timu ya taifa ya soka ya wanaume Kanada. Anakubalika sana kama mmoja wa mabeki wa pembeni bora zaidi duniani, na pia ni mmoja ya wachezaji bora zaidi wa Amerika Kaskazini katika historia. Davies amejulikana kwa jina la The Roadrunner kutokana na kasi yake ya ajabu na uwezo wake wa kupita wachezaji na ubunifu wake.[1][2]

  1. McCambridge, Ed; published, Mark White (Oktoba 15, 2021). "Best left-backs in the world: the top 10, ranked". FourFourTwo. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Juni 24, 2021. Iliwekwa mnamo Januari 31, 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "The best left-back in the world! Davies' rise has Bayern eyeing Champions League glory". 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alphonso Davies kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.