Akumaa Mama Zimbi
Mandhari
| Akumaa Mama Zimbi | |
|---|---|
| Amezaliwa | Dr. Joyce Akumaa Dongotey-Padi 25 Novemba Ghana |
| Kazi yake | Runinga na Redio |
| Ndoa | Ameolewa |
Akumaa Mama Zimbi, pia anajulikana kwa jina la taalamu kama Dkt. Joyce Akumaa Dongotey-Padi, ni mwandishi wa habari wa televisheni na redio kutoka nchini Ghana, mwanaharakati wa haki za wanawake, mwanablogu, mshauri wa ndoa, na mwigizaji nchini Ghana.[1][2]
Akumaa anajulikana kwa njia zake za kuvutia, lakini zenye kuchochea ngono, za kuelezea "Medaase" (Asante). Njia zake za kipekee za kuvaa kofia yake pia zinaonekana kama chapa tofauti ya Akumaa. Hayajulikani mengi kuhusu maisha ya awali ya Akumaa pamoja na familia yake na historia yake ya kielimu.
Hata hivyo, inajulikana kwamba baba yake ni polisi na mumewe ni mfanyabiashara ambaye ameolewa naye kwa zaidi ya miaka ishirini na minne.[3][4][5][6][7]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Ndetei, Chris (2022-11-03). "Akumaa Mama Zimbi's biography: age, boyfriend, net worth". Yen- Ghana news. (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-01-28.
- ↑ Delay TV (2015-06-30), Delay Interviews Akumaa Mama Zimbi, iliwekwa mnamo 2018-10-26
- ↑ Akwasi, Tiffany (2018-06-12). "Who is Akumaa Mama Zimbi". Yen - Ghana news. (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-03-09.
- ↑ Sasa, Tuandike (2018-06-12). "Who is Akumaa Mama Zimbi". Yen - Ghana news. (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-01-11.
- ↑ Banini, Awofisoye Richard. "Welcome to Mama Zimbi Foundation (MZF)::". mamazimbi. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-10-15. Iliwekwa mnamo 2018-10-26.
- ↑ Akwasi, Tiffany (2016-06-12). "Who is Akumaa Mama Zimbi". Yen- Ghana news. (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2018-10-22.
- ↑ Sika, Delali (2014-11-27). "I have my share of marriage troubles — Akumaa Mama Zimbi". Graphic Online (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2018-10-22.
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Akumaa Mama Zimbi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |