Ajenda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ajenda au agenda (kutoka neno la Kilatini) ni orodha ya mambo yaliyopangwa yazungumzwe kwenye mkutano moja baada ya lingine.

Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ajenda kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.