Agbeli Kaklo
Mandhari
Agbeli Kaklo ni vitafunio vya Ghana kinachotengenezwa na mihogo na kuliwa na wenyeji. Vitafunio hivyo vilitokea sehemu ya kusini ya mkoa wa Volta. Mara nyingi huliwa na nazi ngumu. Vitafunio hivyo vinaitwa hivyo kwa sababu vinatokana na mihogo.[1][2][3][4][5][6][7]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.graphic.com.gh/features/opinion/agbelikaklo-the-comfort-food-from-volta.html
- ↑ https://m.facebook.com/Telandeworld/posts/1797880156903712
- ↑ https://yen.com.gh/72353-8-ghanaian-snacks-can-eat-day-every-day.html
- ↑ https://face2faceafrica.com/article/ghanas-independence-celebration-to-be-marked-in-nyc-with-west-african-street-food-pop-up
- ↑ https://www.modernghana.com/lifestyle/12932/when-was-the-last-time-you-had-crunchy-agbeli-kakl.html
- ↑ https://www.pulse.com.gh/lifestyle/food-travel/pulse-foods-how-to-prepare-agbeli-kaklo/tvg2bx5
- ↑ https://youtu.be/wfmQdxpxq2M
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |