Nenda kwa yaliyomo

Agarak, Meghri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muonekano wa Mji wa Agarak, Meghri
Mahali penye rangi ya buluu ndipo pa mji huu.

Agarak (Kiarmenia: Ագարակ) ni jiji lililoanzishwa mnamo mwaka wa 1949, kwenye mkoa wa Syunik huko nchini Armenia.

Upo kwenye ukingo wa mto Araks katika mpaka wa nchi ya Iran, km 9 kusini-magharibi mwa mji wa Meghri.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Agarak, Meghri kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.