Adoniya
Mandhari
(Elekezwa kutoka Adonia)
Adoniya alikuwa mwana wa Mfalme Daudi wa Israeli. Mama yake alikuwa Hagithi.
Ametajwa katika Biblia ya Kiebrania, ambayo ni sehemu ya Biblia ya Kikristo (Agano la Kale), katika Kitabu cha Pili cha Samueli, sura ya 3, mstari wa 4.
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Adoniya kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |