Achraf Achaoui

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Achraf Achaoui (alizaliwa 10 Desemba 1996) ni mchezaji wa soka wa Morocco mwenye asili ya Kibelgiji ambaye kwa sasa anacheza kama beki wa kushoto katika klabu ya Olympic Charleroi Châtelet Farciennes.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Achaoui alicheza kwanza kwenye timu ya wakubwa katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Royal Excel Mouscron.[1]

Tarehe 7 Mei 2019, Achaoui alihamia klabu ya Ubelgiji Olympic Charleroi Châtelet Farciennes.[onesha uthibitisho]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Ghislain, Pierre. "Le Standard étrille Mouscron et prend sa revanche". Iliwekwa mnamo 29 Agosti 2016. 

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Achraf Achaoui kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.